News

Kukatwa kwa misaada hii kumefanya baadhi ya mashirika yaliyokuwa yakidhaminiwa na Marekani kutofanya kazi kama ilivyokuwa ...
Dodoma. Katika kuwezesha shule kuingiza mapato na wanafunzi kupata lishe, Mkoa wa Dodoma umeanza programu maalumu ya kupanda ...
Wamedai kifungu hicho kimekuwa kikwazo kwao, kwani baadhi ya wageni wanaoingia kwa mwamvuli wa msaada wa kiufundi wamekuwa ...
Dar es Salaam. Wananchi wamesisitizwa wanapokuwa na miradi ya ujenzi kuwatumia wahandisi wabobezi na waliosajiliwa ili ...
Dar es Salaam. Wizara ya Afya Zanzibar, imetaja mikakati ya kukabiliana na uhaba tiba za kibobezi na madaktari bingwa na bobezi, huku ikikaribisha wawekezaji katika sekta ya afya visiwani ...
Arusha. Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Salim, dereva bodaboda na mkazi wa Sinoni, ameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira, baada ya kudaiwa kukutwa na pikipiki ya wizi.
Dares Salaam. Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko amewataka vijana kujifunza umuhimu wa amani kama nyenzo muhimu ya maendeleo. Pia, amewataka kumpuuza mtu yeyote atakayetokea bila kujali ...
Wakati akieleza hayo, ndani ya Chadema hakujapatikana mwafaka iwapo Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, kesho ataungana ...
Aprili 9, 2025, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliliomba Bunge liidhinishie Sh782.08 bilioni kwa ajili ya Ofisi ya Waziri Mkuu, ...
Dar es Salaam. Mwanzoni mwa wiki hii, msanii wa Afrobeat kutokea nchini Nigeria, Wurld alichapisha video kwenye ukurasa wake ...
Kamanda Katabazi amesema Jeshi la Polisi lina mtandao mkubwa nchi nzima, hivyo hata kama simu iliibiwa Dodoma na ikapatikana ...
Kabla ya kurejea mfumo wa vyama vingi, Tanzania imewahi kushuhudia kesi kadhaa za uhaini zinazohusisha wanasiasa, wanajeshi ...