Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imechukua hatua ya kulinda ukuaji wa uchumi ikiwa ni siku mbili baada ya Rais Marekani, Donald ...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula amewaagiza askari wa Jeshi la Uhifadhi kuzingatia sera ya ujirani ...
Diwani wa CCM Kata ya Kiziguzigu, Mwalimu Martin Mpemba, amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa kichwani na kitu chenye ...
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza namna Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ilivyokuwa ikitawaliwa na vyama vya upinzani, ...
Watu 45 wameuawa Mkoani Geita kwa imani za kishirikina kwa kipindi cha mwaka 2021-24 huku umaskini na ukosefu wa elimu ...
Kuwekeza katika kilimo cha kisasa na viwanda ni miongoni mwa maeneo matano yaliyoainishwa na wadau, kama muhimu kwa Serikali ...
Wakati utekelezaji wa programu ya kuboresha na kurejesha maeneo ya miji ambayo yameathiriwa na changamoto mbalimbali ukianza, wananchi wametaka kupewa elimu zaidi na kushirikishwa katika ...
KWA miaka zaidi ya 25, Dully Sykes amekuwepo katika muziki akifanya vizuri kwa nyimbo zake maarufu huku akitoa albamu tatu ambazo ni Historia ya Kweli (2002), Handsome (2004) na Hunifahamu ...
Dar es Salaam. Wakati utekelezaji wa programu ya kuboresha na kurejesha maeneo ya miji ambayo yameathiriwa na changamoto ...
MSANII wa Hip Hop Bongo, Nay wa Mitego alikuja na mtindo wa aina yake kwenye muziki kwa kukosoa wasanii wengine na baadhi ya ...
Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini imemwondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol aliyekuwa amefutwa kazi kwa kura ya kutokuwa na ...
Changamoto ya mifumo ya usafirishaji wa zao la parachichi ambayo inasababisha usafirishaji kuchukua siku 50, imetajwa ...